Nyaribo aponea chupupu baada ya kuokolewa na Bunge la Seneti
Jumla ya maseneta 38 walipigia kura kuunga mkono hoja hiyo, na hivyo kumpa nafasi ya kuepuka kusikilizwa kwa mashtaka kamili, baada ya kubainika kuwa Wawakilishi Wadi walikiuka sheria katika kura yao.
Latest Video
N95 or KF94? Which mask is best at protecting against COVID-19