KHRC yasema deni la umma la wanyanyasa wakenya

KHRC yasema deni la umma la wanyanyasa wakenya
Asilimia 68 ya mapato ya kawaida hutumika kulipa deni la umma na mishahara ya serikali, na kuacha chini ya theluthi moja ya bajeti ya afya, elimu, usalama wa chakula, maji na usafi wa mazingira.
.

RELATED NEWS