Mswada wa tawahudi (autism) walenga kuwasaidia waathiriwa na familia zao

Mswada wa tawahudi (autism) walenga kuwasaidia waathiriwa na familia zao
Mswada huo, uliodhaminiwa na Seneta Karen Nyamu, unapendekeza mfumo mpana wa kushughulikia mapungufu yaliyopo katika uchunguzi wa mapema na utoaji wa huduma maalum.
.

RELATED NEWS