Bob Njagi adai kutekwa nyara kwao kulipangwa na serikali ya Kenya

Bob Njagi adai kutekwa nyara kwao kulipangwa na serikali ya Kenya
Njagi alisema kuna ushirikiano kati ya Kenya, Tanzania na Uganda katika kuwakandamiza wakosoaji wa tawala zao, jambo ambalo limeongeza hofu miongoni mwa wanaharakati na viongozi wa upinzani.
.

RELATED NEWS