Wapima ardhi wanaonya ukataji wa miti na matumizi duni yanachochea maporomoko
Kwa mujibu wa ISK, kuendelea kuharibiwa kwa misitu kumeosheleza udongo, kudhoofisha miinuko na kuvuruga mifumo ya asili ya maji ambayo husaidia kuzuia majanga kama haya.
Latest Video
N95 or KF94? Which mask is best at protecting against COVID-19