Shamra shamra zilinoga hapa nchini baada ya saa sita kuingia wakenya wengi walipata fursa ya kuruka mwaka baada ya wengi wao kushindwa kuukaribisha vyema mwaka wa 2008.