Rais Ruto Askilize Vijana Kwa Matendo, Sio Vitisho: Sepetuko
Published Jul. 24, 2024
00:00
00:00

Maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali yanamaanisha kuwa Rais William Ruto atastahili kuwasikiliza zaidi vijana wanaoandamana. Kusikiliza huku hakuwezekani katika mazingiraya kujipiga kifua na vitisho. Kusikiliza huku ni zaidi kupitia kwa matendo.