Tishio kwa Amani na Utawala wa Sheria
Published Jul. 02, 2024
00:00
00:00

Visa vinavyoendelezwa na serikali vya kuwateka nyara vijana na wanasiasa wanaohusishwa na maandamano dhidi ya serikali yanatia shubiri uwezekano wa kufumbua fumbo hili. Zaidi ni uhuni ambao ni kinyume kabisa na sheria za nchi. Amani haipatikana kwa kiganja kilichofumbatwa.