Familia elfu mbili kutoka kitongoji duni cha suswa eneo la moi’s bridge wamesalia bila ya makao baada ya wafanyikazi wa baraza la mji wa wareng kubomoa yaliyokuwa makaazi yao chini ya usimamizi wa maafisa wa kulinda usalama . Wengi ya waliobomolewa makaazi yao walilaani kitendo hicho huku wakidai kuwa jamaa mmoja mwenye asili ya kieshia amekuwa akiwahadaa kwa kupokea malipo ya kila mwezi kutoka kwao  huku akitoa ahadi kwamba watakuwa na uwezo wa kumiliki ardhi hiyo inayozozaniwa


Kitale; families;homeless