Uchaguzi wa UDA: Uingiliaji wa Serikali Kupitia Wenyeviti wa KRA na KPLC?
Sepetuko
Apr. 04, 2024
Uteuzi wa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Ushuru Nchini KRA na mwenzake wa Kampuni ya Nguvu za Umeme KPLC kusimamia uchaguzi wa viongozi wa chama cha UDA haufai kabisa. Sepetuko inasema wacha uongozi wa chama utenganishwe na uongozi wa nchi na mashirika yake. Mambo haya mawili kamwe yasichanganywe.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa