Familia yapokea furushi la fuvu

Watch KTN Live on http://www.ktnkenya.tv Tungependa kukuonya mtazaji kuwa taarifa ifuatayo ina picha za kuogofya ambapo familia moja mjini Bungoma imepigwa na mshangao mkuu baada ya kupokea furushi la mzigo uliokua na fuvu la kichwa cha binadamu kilichokuwa kimeoza.