Mpeperusha bendera wa Muungano wa Azimio Raila Odinga sasa anadai kuwa hatashiriki katika mjadala wa Kitaifa wa wawaniaji wa urais na mshindani wake, William Ruto wa UDA.
Msemaji wa kamati ya Kampeni ya Raila Profesa Makau Mutua anadai kuwa mfumo wa mjadala wa marais nchini ambapo...