Tangu kenya kutwaa katiba mpya mambo yanaonekana kubadilika, huku wanaowania nyadhifa za umma wakijipata katika miali mikali kuhusiana na utendakazi wao na hii leo, kenya iliingia katika daftari za kumbukumbu kwa kuandaa kikao na wagombeaji uenyekiti wa soka nchini, huku wakiuza sera zao hadharani katika mdahalo na umma.