Barua kwa Rais Uhuru kenyatta
Ninasikitika sana! Matatizo chungu nzima nchini! Rais, hapana sababu ya kutabasamu wakati wagonjwa wanakosa kuhudumiwa mahospitalini. Wengi tayari wamepoteza maisha kutokana na mgomo huu wa matabibu.
By Yegon Emmanuel
8 years ago