Serikali imeanza rasmi kutoa chanjo dhidi ya homa ya manjano yaani yellow Fevor kwa wakazi wa Kaunti ya Isiolo na Garissa.
Wizara ya Afya imezindua kampeni hiyo leo hii huku ikilenga hasa maeneo la Merti na Garbatula kwenye Kaunti ya Isiolo na Lagdera, Balambala katika Kaunti ya Garissa ambapo takriban watu...