Serikali imesisitiza kwamba haitaruhusu adhabu ya vibiko dhidi ya wanafunzi katika shule za humu nchini. Waziri wa Elimu Profesa George Magoha amesema haifai walimu kuwashurutisha wanafunzi kupata alama za juu katika mitihani.
Akizungumza katika Shule ya Msingi ya Wagwer Kaunti ya Siaya, Waziri Magoha amesema mwalimu anayesemekana kumwadhibu...