Kivuitu on Elections-Swahili

Analaumiwa pakubwa kwa uchaguzi uliokuwa na utata wa mwaka 2007, hata hivyo aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi samuel kivuitu alikuwa baadhi ya wataalam walioalikwa kuchambua sheria mpya ya uchaguzi nchini katika warsha ya mageuzi ya uchaguzi. Licha ya kuwa hakuzungumzia uchaguzi huo uliokumbwa na utata, kivuitu alionekana kupongeza sheria hii mpya akidai kwamba ilitoa mamlaka zaidi kwa tume ya uchaguzi tofauti na ilivyokuwa wakati wake, hata hivyo akionya kuwa huenda wanasiasa wakazuia kutekelezwa kwake.

Related Topics

Kivuitu Elections