Ruto na Maandamano: Sauti za Wapinzani wa Mswada wa Fedha
Published Jun. 28, 2024
00:00
00:00

Katika kipindi hiki cha kwanza cha "Kio Cha Habari," Mike Nyagwoka, Esther Kirong, na Dalmus Sakali wanajadili maandamano dhidi ya mswada wa fedha. Wanajadili maoni ya kizazi cha Gen Z na hisia za taifa kuhusu Rais Ruto na serikali yake baada ya vifo vya kusikitisha na matukio ya kutisha yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano haya. Je, Ruto atachukua hatua gani ijayo, na je, huu ndio mwisho wa utawala wake? Sikiliza kujua zaidi.