Uwekezaji Katika Kilimo: Changamoto za Wakulima Kenya
Published Jun. 26, 2024
00:00
00:00

Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa la Kenya. Mwanahabari Shisia Wasilwa alizuru kaunti nne za Nakuru, Baringo, Narok na Nyahururu kuangazia jinsi wakulima katika maeneo hayo wanavyokabiliana na mawakala. Mpango huo unaendeshwa na serikali, Benki ya Ustawi wa Maendeleo Barani Afrika- AFDB pamoja na chuo kikuu cha ushirika. Tayari dola elfu 850 zimetolewa na benki ya AFDB kwa lengo la kufanikisha mpango wenyewe.