Afya yako : Ugonjwa wa lymphoedema
22nd January, 2015
Katika makala yetu ya afya yako hii leo tunaangazia ugonjwa unaofahamika kama lymphoedema. Huu ni ugonjwa unaosababisha mgonjwa kidonda kisichoweza kupona kwenye mikono au miguu na hata kuweza kumfanya mgonjwa aliyeathirika na maradhi haya kukatwa sehemu yenye jeraha la kidonda.