Soko la Garissa: Wafanyabiashara wanatakiwa kuhama baada ya notisi yaukarabati kutolewa
5th November, 2019
Wafanyabiashara Wa Soko Kuu La Garissa Wanapewa Notisi Na Maafisa Wa Manispaa Mjini Humo Wa Kujenga Upya Soko Hilo. Barabara Katika Soko Hilo Ni Duni Hasa Mkasa Wa Moto Unapotokea