1st December, 2021
Paul Njuki Murage, mwanaume ambaye alikiri kwa polisi kuwa amemuua mkewe na wanawe wanne atazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kirinyaga kwa siku kumi na nne zaidi.
Hii ni baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha ombi la kutaka azuiliwe ili kutoa muda wa kukamilisha uchunguzi.