Golden State Worriors walazwa alama 124-117 na Minnesota Timberwolves kwenye ligi ya NBA
6th April, 2016
Kampeni ya Golden State Worriors kuweka rekodi ya kushinda mechi nyingi zaidi katika ligi ya kitaifa ya mpira wa vikapu NBA nchini Marekani, ilipata pigo baada ya kulazwa alama 124-117 na Minnesota Timberwolves nyumbani kwao Oracle Arena.