Mututho adai ulanguzi wa dawa za kulevya miongoni wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi
6th April, 2016
Mwenyekiti wa mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya John Mututho amesema kuwa anasubiri rais Uhuru Kenyatta kurejea nchini ili kujadili mikakati ya kuunda kikosi cha polisi cha kupambana na dawa ya kulevya. Mututho amedai kwamba lipo kundi linalohusika katika kuuza dawa za kulevya kwa wanafunzi katika chuo kikuu cha Nairobi