×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Dereva wa texi anaswa na kamera za CCTV akimzaba mwenzake wa kike makofi mtaani South C

6th April, 2016

Mtazamaji ni sawa kumzaba mwanamke makofi? Kupitia kamera za CCTV tulizoweza kuzipata zinaonyesha jinsi jamaa mmoja ambaye ni mmliki wa texi katika kituo kimoja mtaani South C hapa jijini Nairobi akimchabanga mama na mwanamke ambaye pia ni mchumi kupitia biashara ya wanatexi. Maajabu ni kuwa jamaa aliyetenda unyama huo anadai kuwa ni hasira.
.
RELATED VIDEOS