Programu ya kudhibiti ukeketaji miongoni mwa jamii ya Kuria yaanzishwa
22nd October, 2022
Kumaliza mila na desturi ya ukeketaji kabla ya kukamilika kwa mwaka huu ni kati ya malengo makuu ya serikali. Katika kaunti ya migori jamii ya Kuria ni mojawapo ya jamii ambazo zimekuwa zikitekeleza mila hiyo kinyume cha sheria.