3rd January, 2020
Vijana Wa Kundi La Bunge La Wananchi Hapa Jijini Nairobi Mapema Leo Wamelalamikia Kile Wanachokitaja Kuwa Mtindo Uliopo Wa Kampuni Za Kutengeza Pombe Nchini Kujihusisha Kwenye Ushindani Usio Na Maana. Wamedai Kwamba Kampuni Moja Imekuwa Na Desturi Ya Kuhujumu Biashara Za Kampuni Nyhingine, Hali Ambayo Wanasema Si Vyema Kwa Ukuaji Wa Uchumi Wa Taifa.