22nd March, 2018
Uvumbuzi wa kipekee wa mwanafunzi wa technolojia katika chuo kikuu cha masinde Muliro umeleta mwamko mpya katika usanjari wa mawasiliano. Amevumbua njia ya kuwasiliana kutumia simu bila ya kuhitaji laini ya simu wala muda wa maongezi