2nd July, 2021
Sarakasi zinazidi kuteka anga ndani ya chama cha walimu cha KNUT ambapo aliyekuwa katibu mkuu wa siku nyingi Wilson Sossion alijiuzulu baada ya machozi kumtoka njia mbili mbili. Huku haya yakijiri mahakama ya rufaa ilikuwa mwenyeji wa mawakili walioporomosha vifungu vya sheria kwa mpigo. Na kwa kuwa wakenya hawakosi vituko, msamiati kufinya umeoenekana kusambaa katika mitandao ya jamii.elvis kosgei na mengine mengi zaidi kwenye makala ya kila ijumaa ya mirindimo, tazama.