×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge kadhaa wapinga mpango wa shule kufunguliwa

23rd September, 2020

Wabunge waliopo kwenye kamati ya kusimamia pesa za Usawi wa maeneo bunge ( CDF) wameikosoa serikali kwa mipangilio ya kufungua shule wakati huu. Wabunge hao walizungumza huko Embakasi kwenye ukaguzi wa miradi ya hazina ya CDF, wakisema kwamba serikali inajitia hamnazo kuhusu ukosefu wa miundomsingi inayohitajika kupambana na msambao wa homa ya Korona.

.
RELATED VIDEOS