×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mauji ya Kuogofya: Mume amyonga mkewe na kisha kujifungia ndani ya nyumba yao na kujiteketeza

21st September, 2020

Mauji ya kuogofya na ya kinyama yameshuhudiwa katika eneo la malava na kuwaacha wakazi vinywa wazi. Mume akimyonga mkewe na kisha kujifungia ndani ya nyumba yao na ujiteketeza. Katika kijiji kingine eneo lilo hilo kijana akimchinja nyayake kwa kisu na kumwua papo hapo baada ya Ugomvi kutokea baina ya wawili hao. Visa vyote vikitokea Usiku wa kuamkia jumatatu. Willy lusige na taarifa zaidi

 
.
RELATED VIDEOS