×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maaskofu hapa Nairobi wameikosoa serikali kwa kutoonyesha mfano mzuri wakati huu wa korona

21st September, 2020

Baadhi ya maaskofu wa makanisa ya hapa nairobi wameikosoa serikali kwa kutoonyesha mfano mzuri wakati huu wa kutafuta suluhu kwa msambao wa homa ya korona. Watumishi hao waliozungumza katika kanisa la life source international mtaani kayole, wamekemea mtindo wa wanasiasa kukubaliwa kuendesha shughuli za siasa huku raia wakiendelea kufungiwa

.
RELATED VIDEOS