.
21st September, 2020
Rais uhuru kenyatta atahutubia taifa kwa mara ya kumi na mbili tarehe 29 baada ya kuongoza mkutano utakaoangazia juhudi ambazo serikali imeweka kukabiliana na janga la Korona humu nchini. Mkutano huo unatarajiwa kutoa maelekezo ya jinsi maisha yatakavyorejea kawaida licha ya kuwepo kwa virusi vya korona.