×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Walimu kote nchini wameombwa kuripoti kazini jumatatu Sept, 28 kwa maandalizi ya ufunguzi wa shule

21st September, 2020

Walimu kote nchini wameombwa kuripoti kazini jumatatu Sept, 28 kwa maandalizi ya ufunguzi wa shule. Afisa mkuu wa tume ya huduma za walimu tsc, nancy Macharia na waziri wa elimu prof george magoha walitoa tangazo hilo mapema leo baada ya kupokea ripoti kutoka kwa jopokazi lililopewa jukumu la kuandaa mchakato wa ufunguzi wa shule baada ya jinamizi la korona. Hata hivyo Tarehe ya ufunguzi bado haijatangazwa.

.
RELATED VIDEOS