.
18th September, 2020
Vijana na viongozi kutoka kanisa la victory evangelisticministry international, mtaani tassia hapa nairobi, wametoa wito kwa wakazi wa nairobi na vitongoji vyake kudumisha usafi wa mazingira. Wameyasema hayo baada ya kuongoza shughuli za kuusafisha mto ngong’.