×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Matatizo ya Wafu: Familia yahangaika Embu kupata mwili wa mpendwa wao baada wahudumu wa afya kugoma

18th September, 2020

Huduma zimesitishwa kwa siku ya nane sasa katika hospitali ya Embu level 5 baada ya wahudumu wa afya kugoma siku ya jumatano wiki jana. Ni tatizo lililosababishwa na mvutano baina ya maseneta kuhusu mgao wa fedha kwa serikali za kaunti. 

.
RELATED VIDEOS