×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ng'eno Alemewa: KANU yasema itamtimua katika chama huku Gideon Moi akikutana na wajumbe wa Narok

18th September, 2020

Mbunge wa Emurua Dikirr johana Ng’eno atafikishwa mbele ya kamati ya nidhamu ya chama cha kanu kuhusiana na matamshi yake yaliyotajwa kama ya matusi.  Katibu mkuu wa chama hicho Nick Salat amesema kuwa walikuwa wamepewa ruhusa kumfikisha kiongozi huyo mbele ya kamati hiyo na viongozi wa eneo hilo waliofika huko kuzungumza na kiongozi wa chama hicho seneta Gideon Moi. Kwa upande wake, Seneta Moi alizitaka jamii hizo kuishi kwa amani akiongeza kuwa serikali inafanya juhudi zote kuhakikisha kuwa suluhu ya kudumu inapatikana. 

 

.
RELATED VIDEOS