.
18th September, 2020
Kwenye makala ya mirindimo juma hili, tunaangazia kukuru kakara za raila odinga na naibu rais william ruto baada ya korona kuonekana kutuliza makali. Marafiki wa ruto wanasema raila odinga ni mkono gamu, lakini raila na rafiki zake wanasema kenya haistahili maendeleo ya kupewa