.
16th September, 2020
Ukarabati wa uwanja wa Kamariny Kaunti ya Elgeyo Marakwet umesitishwa kwa sasa na mwanakandarasi kufurushwa kwa kutowajibika. Kamariny inayokadiriwa kutumia kima cha shilingi milioni mia mbili themanini na moja lakini hadi sasa haiku karibu kumalizika na sasa wenyeji wamechoshwa.