.
16th September, 2020
Wagombea viti mbalimbali kwenye uchaguzi wa matawi wa shirikisho la Kandanda nchini wanazidi kupamba kampeni zao kwa kuuza sera zao siku chache kabla uchaguzi kuandaliwa. Wanachama wanatarajiwa kupiga kura siku ya Jumamosi tarehe 19 mwezi Septemba.