.
16th September, 2020
Mwanariadha mzoefu wa mbio ndefu Eliud Kipchoge amefungua Maktaba eneo la Kapsisiywa katika Kaunti ya Nandi huku akitilia maanani elimu ya haswa watoto. Waziri wa Elimu Profesa George Magoha amefutilia mbali madai kuwa shule zitafunguliwa mwezi Novemba.