Kafyu kuendelea kwa siku zingine 30. baa na maeneo ya burudani yatasalia kufunguliwa
26th August, 2020
Kafyu ya kila siku ya saa tatu jioni hadi saa kumi alfajiri itandelea kwa siku thelathini zijazo. Akihutubia taifa katika Ikulu ya Nairobi, Rais Uhuru Kenyatta pia alisema baa na maeneo ya burudani yatasalia kufunguliwa.