21st August, 2020
Watu Wawili Zaidi Wamefariki Kufuatia Mapigano Mapya Yanayoshuhudiwa Katika Eneo La Nessuit Kaunti Ya Nakuru. Wenyeji Wa Eneo Hilo Hii Leo Waliandamana Zaidi Ya Kilomita Kumi Hadi Njoro Katika Juhudi Za Kuhakikisha Kuwa Wamesikizwa Na Shida Zao Kusuluhishwa. Walidai Kuwa Polisi Walio Eneo Hilo Wanaendelea Kuwanyanyasa Na Na Hata Baadhi Yaowamepoteza Maisha Kwenye Makabiliano.