.
21st August, 2020
Vita Dhidi Ya Janga La Korona Vimepata Pigo Nairobi Baada Ya Kuanza Rasmi Kwa Mgomo Wa Madaktari Wanaotaka Matakwa Yao Kushughulikiwa Kabla Ya Kurejea Kazini. Hayo Yakiarifiwa, Jumla Ya Vifo Vya Korona Vimefikia 532 Baada Ya Wagonjwa Wengine 16 Kuripotiwa Kufariki. Aidha, Wizara Ya Afya Imerekodi Visa 322 Vipya Vya Maambukizi Ya Korona.