.
19th August, 2020
Kikundi Cha Wanaharakati Wa Kijamii Sasa Kinataka Uwazi Na Uwajibikaji Kuhusiana Na Namna Serikali Za Kaunti Hasa Nairobi Zinavyoendesha Shughuli Zake. Wakizungumza Hapa Nairobi, Kundi Hilo Linalojumuisha Youth Congress, Muungano Wa Kijiji, Haki Jamii Na Nairobi Peoples Settlement Miongoni Mwa Mashirika Mengine Wametaka Bunge La Seneti Kuafikia Makubaliano Ya Haraka Kutatua Mzozo Wa Mfumo Wa Mgao Wa Fedha Ili Kufanikisha Utoaji Huduma Kwenye Magatuzi.