19th August, 2020
Wanawake Ni Miongoni Mwa Waliojitokeza Kugombea Nafasi Mbalimbali Za Uongozi Katika Uchaguzi Mkuu Ujao Wa Oktoba 28 Nchini Tanzania, Ikiwa Ni Kwa Mara Ya Kwanza Wanawake Wengi Kujitokeza Kutafuta Ridhaa Ya Kuongoza Taifa Hilo La Afrika Mashariki. Queen Cuthbert Sendiga Ni Mgombea Wa Nafasi Ya Urais Kwa Tiketi Ya Chama Cha Upinzani Cha Adc, Anachambua Kwa Kina Changamoto Zinazokabili Kundi Hilo Dogo Katika Siasa.