.
19th August, 2020
Sina Mamlaka Ya Kuamuru Kufunguliwa Kwa Taasisi Za Masomo Ila Mamlaka Hayo Ni Ya Rais Uhuru Kenyatta. Ni Maneno Ya Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Aliyeelezea Kuwa Ni Rais Uhuru Kenyatta Atakayetoa Amri Ya Ni Lini Taasisi Za Masomo Zitafunguliwa Baada Ya Kupata Ushauri Wa Wataalamu. Magoha Alizungumza Na Wanahabari Baada Ya Kuzuru Taasisi Ya Teknolojia Ya Siaya Kutathmini Ilivyojiandaa Masomo Yatakaporejelewa.