.
19th August, 2020
Wakazi Wa Jumba Moja La Kupangisha Mtaani Pipeline Embakasi Wanakodolea Macho Mnada Wa Bidhaa Zao Kwa Kushindwa Kulipa Kodi Ya Nyumba Tangu Ujio Wa Janga La Korona. Baadhi Yao Wanasema Serikali Hudhania Wakazi Wa Mitaa Ya Mabanda Ndio Maskini Jijini Nairobi Na Kuwasahau Kwa Dhana Kuwa Wanajiweza Kifedha. Kilio Chao Kikiwa Kinaya Na Ripoti Ya Idara Ya Takwimu Na Idadi Ya Watu Inayosema Nairobi Ina Idadi Ya Chini Ya Umaskini Nchini.