.
17th June, 2020
Polisi inachunguza ripoti ya kupotea kwa watoto wawili katika eneo la athi river kaunti ya machakos. Familia zinadai kuwa watoto wawili wa miaka mitatu na minne mtawalia walionekana mwisho wakiwa wanacheza na wenzao nje nyumbani kwao. Mwanahabari wetu sirajurahman abdullahi alikuwa eneo hilo nakutuandalia taarifa ifuatayo.