.
17th June, 2020
Kamati maalum ya bunge la seneti ilifanya kikao cha kwanza
Baada ya bunge la seneti kuamua kumchunguza gavana ann
Waiguru wa kirinyaga licha ya tetesi kuwa harakati hiyo
Ikabidhiwe bunge nzima la seneti. Murimi mwangi anarifu kwa
Kina tarifa ya kamati, kukana dhana ya kumpendelea
Waiguru.